The Kilimanjaro Song

Jambo!
Jambo Bwana!
Habari gani
Mzuri Sana
Wageni!
Mwakaribishwa
Kilimanjaro
Hakuna Matata ...

Tembea pole pole
Hakuna matata
Utafika salama
Hakuna matata
Kunywa maji mengi
Hakuna matata

Rough Translations

Jambo: Greetings

Bwana: Respectful address

Habari gani: How are you?

Mzuri sana: Very fine

Wageni, mwakaribishwa: Foreigners, You are welcome

Hakuna matata: There are no worries

Tembea pole pole: Walk slow, slow

Utafika salama: Come safe

Kunywa maji mengi: Drink plenty of water